Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
pesa ze betting kutoka ulaya hadi kadi yako ya visa Luna muda zinachukua hadi siku 14 za Nazi. Kuwa na subra, itaingia tu.Habari nime withdraw pesa toka bet365 kuja visa card yangu ya BANC ABC tangu tarehe 21 lakini haijaingia kwenye akaunti kama kuna aliyewahi pata tatizo hili anisaidie jinsi ya kutatua pesa ya Kwanza niliwithdraw Bila shida nika pata ndani ya siku mbili hii inachukua zaidi ya wiki sasa
tena odds zake ni nzr...
thnks kwa philadelphia hakuniangushaView attachment 1139613
Hongera.. Hivi wanakata kodi?tena odds zake ni nzr...
thnks kwa philadelphia hakuniangushaView attachment 1139613
mkuu tusaidiane,Paymaster iko poa sana options kibao
Kinachotukwamisha ni tamaa ya kutaka million kwa jero
kodi hakunaHongera.. Hivi wanakata kodi?
kwa nini ulini remove pasipo kunipa sababu?Mkuu sio lazima kila post inayokukera ukoment....zinazokukera unaachana nazo then unafanya yako
Samahani hivi kwa Tanzania kampuni gani ina low leagues games kama 1xbetmimi nadhani betting company nzuri kwangu iwe na vigezo hivi:-
- kwanza iwe na options nyingi na zakueleweka
- iwe na graphical nzuri kama garsport
- iwe na mpangilio mzuri wa team na option
- huduma kwa wateja wawe fasta kushughulikia matatizo ya waeja wao, isiwe kama premierbet
- background nayo huwa inavutia kwenye kubeti mfano mzuri ni 1xbet yaani wana background nzuri mpaka unaona raha uwe unabet muda wote
- mwisho wawe fasta kwenye malipo,, wasiwe kama M-bet mkeka ukiwini leo hela unapewa kesho asubuhi mida ya saa 4 hivi
mkuu tusaidiane,
Nisaidie file(apk) ya playmaster kama unaweza upload hapa au nitumie whatsapp +255744143582, maana nashindwa kuaccess website yao ili nidownload kwa7bu ya version ya cm yangu.. msaada
Mwenye file(app) ya playmaster (apk) naomba anisaidie kwa kuliupload hapa, au kwenye Whatsapp yng +255744143582. maana hii simu yangu ni version ya jelly bean, inashindwa kuaccess website ya play master, kwahiyo hata kudownload app yao inakua ngumu. Natanguliza shukrani
kodi hakuna
princess tu ndio user friend.mimi nadhani betting company nzuri kwangu iwe na vigezo hivi:-
- kwanza iwe na options nyingi na zakueleweka
- iwe na graphical nzuri kama garsport
- iwe na mpangilio mzuri wa team na option
- huduma kwa wateja wawe fasta kushughulikia matatizo ya waeja wao, isiwe kama premierbet
- background nayo huwa inavutia kwenye kubeti mfano mzuri ni 1xbet yaani wana background nzuri mpaka unaona raha uwe unabet muda wote
- mwisho wawe fasta kwenye malipo,, wasiwe kama M-bet mkeka ukiwini leo hela unapewa kesho asubuhi mida ya saa 4 hivi
m-bet , Tbet na wakabetSamahani hivi kwa Tanzania kampuni gani ina low leagues games kama 1xbet
mimi sina hamu na hao princessbet wame nizulumu elfu 10 yangu nilikuwa nimefungua akaunti nika deposit kuja kuangalia acc nakuta 0.00 nikawapigia wakasema hela ipo hewani mpaka leo nikaamua kuachana naoprincess tu ndio user friend.
technician wao yuo vizuri website haimchoshi mtumiaji. haina marangi rangi mengi yanayoweza kumkera mtumiaji. na option na malipo wanajitahidi kwenye vitu vingi sana.
kwa bongo kwangu ndio the best campany
Dah, ina maana kijiwe kizima hakuna mwny app ya pmbet... au MB za file ni nyingi
Tumia voda mkuu, maana hata mimi nimejaribu kwa airtel inazingua ila nikaja voda ni chapInasumbua hyo gal nmejaribu kuwithdraw kwa sms nmejaza zile code wamenitumia kwa email lkn salio halijaingia sijui nmekosea wapi
Tumia voda mkuu, maana hata mimi nimejaribu kwa airtel inazingua ila nikaja voda ni chap
mimi sina hamu na hao princessbet wame nizulumu elfu 10 yangu nilikuwa nimefungua akaunti nika deposit kuja kuangalia acc nakuta 0.00 nikawapigia wakasema hela ipo hewani mpaka leo nikaamua kuachana nao