Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

i
Wameshakata kwny account shida haijaingia mpaka sasa n kweli natumia Tigo
ingia kwny accont yako upande wa withdra haf angalia kama kiasi ulicho withdraw ni approved au pending, kama ni pending cancel, ila kama ni approved itabidi uwendelee tu kusubiri maana me mwnyw kiasi nlicho withdra kwa airtel tokea asubuhi hadi sasa sijapata, pia tokea hiyo asubuhi nimeshawithdraw mara 3 na voda na malipo ni haraka
 
Asante mkuu
 
mkuu, mrejesho wako kuhusu skrill tuna usubiri
 
Naona mkeka wangu betpawa wameuiba

Maana ulibakiza mechi mbili tu utiki ambazo ni za leo lakini cha ajabu kwenye my bets siuoni wala kwenye mikeka niliyopoteza haupo
 
Kukosa taarifa sahihi n tatizo nmecheki account statement inaonyesha withdraw shop approved.
Je tatizo sio hapo kwny withdraw shop badala ya SMS?
 
asubuhi nilihangaika jinsi ya kutoa pesa gal bet maana nilianza kubetia hii kampuni jana. Nikienda sehemu ya kuwithdraw wananitumia code wananiambia niende kwa cashier wao, ila badae ndo nikaja nikaona sehemu walioelekeza kuwithdraw kwa ussd
Sportpesa
 
Kukosa taarifa sahihi n tatizo nmecheki account statement inaonyesha withdraw shop approved.
Je tatizo sio hapo kwny withdraw shop badala ya SMS?
hata ukipokea kwa laini yako huwa wanawekaga hivohivo shop, kwa maana kampuni inayokulipa M Pesa ni kampuni ambayo kwa inavoonekana ipo ubia na gsb hivo wanaiterm kama shop,
 
3odds weka figo
 

Attachments

  • Screenshot_20190627-154227.png
    17.3 KB · Views: 39
  • Screenshot_20190627-184525.png
    19.5 KB · Views: 36
  • Screenshot_20190627-193724.png
    104.6 KB · Views: 38
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…