Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana mkuu basket sio masaa mawili wanaweza enda hata mawili na nusu.......wanavyosema dakika 10 o 12 means ni muda wa kuplay peke yake...so ikitokea event yoyote muda unasimamishwa pia wana break dakika 15 pia katika hyohyo kota wanapumzika ....

Punguza wenge acha mtero tulia betting sio sehemu ya kuokota hela ovyovyo uvumilivu muhimu

Nawasilisha
 
Afcon toka imeanza over 0.5 imetoa mechi zote............ajabu sijapata hata mia sababu ya kuchanganya na friends match. Angalizo friends match ni bonanza hata timu kubwa zinajichezea tu hata hawafungani au wanafungwa.
 
Kweli mkuu nakubali juzi wamenilaza njaa
 
Jamani mi naomba kuuliza ntapata wapi odds za uhakika angalau nipate total odds 4 tu kila siku? Maana hawa wanaojitangaza mitandaoni naona wengi wao matapeli.
 
Wapumbavu hawajui hta kiswahili
M wamenitumia code kila kitu nmejaza vzr wamenikata kwny account ila mpaka sa hz hawajaniwekea changu toka jana asbh.

Achana Nao Hilo likampuni Halifai hata kidogo! Mbona makampuni yapo mengi tuu Hayakati kodi na Unatoa Pesa kirahisi bila shida? Na kila siku yanatajwa humu ila kama hamuoni vile! Kutwa vilio yani mnashindwa hata kujiongeza? We unawekewa vikwazo kutoa pesa mara shop, mara utumiwe email, usipotumiwa hiyo email na hela ikakatwa? Kilio! Halafu still bado unabetia hiyo kampuni 🤣🤣 ndo Maana mimi huwa sijibu chochote nikiona vilio vya kujitakia huwa nacheka tuu naswipe left
 
Parimatch
 
Jamani mi naomba kuuliza ntapata wapi odds za uhakika angalau nipate total odds 4 tu kila siku? Maana hawa wanaojitangaza mitandaoni naona wengi wao matapeli.

Hakuna odd za uhakakika hata siku Moja. Futa kabisa hiyo kitu kichwani Mwako La sivyo Utatapeliwa Milele! Wenzio hata odd 2 unazoziita za uhakika zimewashinda yani hata odd 1.2 ya uhakika hakuna Mahali popote Dunia hii! Huu ni Mchezo wa kubahatisha hakuna mwenye uhakika! Kama kungekuwa na mtu ana odd za uhakika aweke pesa mingi awe Bakhresa
 
Hakuna kitu inaitwa odd za uhakika.....HAKUNA

Hata iwe 0.02 hakuna ya uhakika
Jamani mi naomba kuuliza ntapata wapi odds za uhakika angalau nipate total odds 4 tu kila siku? Maana hawa wanaojitangaza mitandaoni naona wengi wao matapeli.
 
Naomba kujuzwa 1x2 both team to score -1
Hiyo 1x2 maana yake ule ushindi wa moja kwa moja yaani
1-ashinde mwenyeji, x-suluhu na 2-Ashinde mgeni.

Hiyo ukiwekewa 1x2 both teams to score- 1

Maana yake Ashinde mwenyeji ila na mgeni apate goli/magoli (yaani wafungane)

X-watoke suluhu ila wafungane

2-Ashinde mgeni ilz pia wafungane
 
Hii option umeitoa kampuni gani mkuu
Weka screen shot
1xbet huwa inakuwepo baadhi ya games japo inaandikwa kwa namba tofauti {Results and both team to score)

Ila kwenye kampuni zetu za kizaramo nahisi ndo huwa wanaiandika hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…