Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahaha watu wapo break....wadada wanatumbuiza pale ww huku jamba.jamba kama zote....under ni upuuzi najaribug hata kwa dau la 22 lkn wap ni lost tu......kuna siku niliweka under 70 watu wakiga nyundo 70 hyohyo hapo odds 1.2 imechana kwamba kwa odds yake wasingefika lol ......
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
 
Udwanzi uo wana.... Muwage mnajibu maswali na sio kuleta odds tu.

Lengo la uzi ni kusaidiana kwa masuala yoote ya kubet
 
[emoji818][emoji818]
 
hawa princess bet tangu jana game iliisha mchana wameupdate leo timu imeshinda wao wameweka lost
 

Attachments

  • Opera Snapshot_2019-06-28_114134_www.sofascore.com.png
    17.5 KB · Views: 42
  • Opera Snapshot_2019-06-28_114805_www.sofascore.com.png
    40.8 KB · Views: 46
  • slip.png
    10.3 KB · Views: 46
Wacheki pale kwenye Livechat labda wamepitiwa mitambo hiyooo haha watakurekebishia chap
Nilishawacheki asubuhi wakaniambia nitume no ya slip nikawatumia. Nilikuwa kwenye mihangaiko so nilishindwa kufatilia nakuja kucheki jioni hii. Kimya halafu na wahudumu hawako online
 
Nilishawacheki asubuhi wakaniambia nitume no ya slip nikawatumia. Nilikuwa kwenye mihangaiko so nilishindwa kufatilia nakuja kucheki jioni hii. Kimya halafu na wahudumu hawako online
Duh pole aysee labda uwapigie simu ila mm nimetoka kuchat nao ss hv wapo online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…