Watu wanaomba possible. Haya makundi, wauza odds ndio vinadumaza hili jukwaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Et anataka group?
[emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Et anataka group?
wapewe penalty (lazima) then washindwe kufunga.Samahani kwa usumbufu, hii ina maana gani? Mbona ina odds kibaoView attachment 1157716
[emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Et anataka group?
Mkuu friendly match achana nazo ni bonanza hizoBaada ya makalio Chelsea, sasa kuna majinga mapya IN TOWN. View attachment 1157436
Mkuu friendly match achana nazo ni bonanza hizo
sure man..kama galatasaray yani kipindi cha kwanza kaongoza..cha pili kapigwa goli mbili ndani ya dakika mbili,,,Mabaharia hizi game za kutest mitambo nyingine zinatumika Kama chance yao ya kukusanya mitaji ya msimu ujao.(na wao wanabet).wanafix kinoma yaani...😂😂😂
Thanks! Je utaweka live au pregame?Leo wenzangu wa basket kuanzia saa saba kuna maporomoka ya pesa msikose
Ndio mkuuHebu nielekeze kitu mkuu hapa labda me sielewi! Inawezekana ukatumia line ya safaricom kudeposit kwenye account inayosoma tzs??
Ndio ila inabidi afanye hivyo pindi pale anapo anza ku create account na abadilishe currency baada ya ktsh unaweka tshAnauliza akitumia safaricom acc yake ya 1xbet itakua ya Tsh?
Haina shida mkuu jana nimetoa na leo nimeweka pesaLeo na jana umetoa mkuu??