Kuna ambaye anajua football index ni kama betting lakn tofaut unabetia wachezaji uwezo na makali yao wao uwanjani
Mfano : tumchukulie Mbappe unaweza ukamnunua kwa bei waliokupangia mf.10k alaf
cku ikatokea kacheza vizuri au kawa man of the match ile bei yake inapanda zaidi ya pale ulipomnunua kwa hyo unamsell back tena kwa wao labda kapanda thamani hadi 80k bonge la faida kama ukiwa na mpunga mrefu na ukawa mvumilivu na pia huwa bei yake inapanda hta asipocheza kwa hyo unaweza ukanunua baadhi ya wachezaj ukion bei yao imepanda hata kidogo una sell unakusanya faida mdogo mdogo
NB:Hata kuloose inawezekana hakuna mtu anafanya kitu kisichokuwa na faida mfano kama Degea au pogba viwango vyao sometime vinashuka sana mda mwngne vnapanda kwa hyo kama umewanunua kwa bei kubwa unaweza ukashangaa thaman yao inaenda hadi kwenye negative kwa hyo una loose maan hii mambo inaend kwa timing...