Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Hizo Visa na MasterCard za Bank gani unatumia?
Uoga wako tu, lkn mtu yeyote anaweza kufungua account hukoDuh !! hii benki huwa naona wanaoungua akaunti huko ni mabepari tuu, makabwela wala siwaonagi huko na ninadhani hatakiwango cha kufungua akaunti ni kikubwa na wamelenga wateja mapapa ni sii vidagaa
Mkuu samahani unatoa kwa njia IPI?Tuone keshoView attachment 1165984
Njia nzuri ya kudepost na kuwithdraw ni Visa na MasterCard haina longolongo, mi ndo naitumiaView attachment 1165728
Leo hatupigwii leo ni kumpiga adi ashangaeeeeWakamaria leo tunatokaje baada ya kupigwa weekend na mitaji imekata oh
Vp hiyo option ya "away to win either half " ipoje? ningepata elimu kidogo.
ngapi mkuu umekosa tuomboleze woteHuyu fala huyu kanikosesha pesa ndefu asee...View attachment 1166079
Natumai umeelewaVp hiyo option ya "away to win either half " ipoje? ningepata elimu kidogo.
Vp kama timu haijafumga kabisa??
Kama haijafunga na uliweka win ume lose iyo ni kwamba mfano ukaweka away to win either half(YES) MAANA yake inatakiwa ishinde kipind cha kwanza au cha pili na ukiweka No isishinde kipindi cha kwanza au cha pilii hapa mfano ikatokea ameshinda kipindi cha kwanza then chapili hajashindii unakua ume win kinachotakiwa asi shinde vipind vyote.Vp hiyo option ya "away to win either half " ipoje? ningepata elimu kidogo.
Vp kama timu haijafumga kabisa??
Wanaotumia 1×bet em tuelekezeni jinsi ya kudeposit hela njia raisi tofaut na bitcoin
Malmo pia mkuu sijui imekuaje dah!
Skrill Mkuu