Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu natafuta line ya safaricom.nitaipataje wakuu kwa Baraka. Nipo nyanda za juu kusini
 
Kazi kweli kweli
 

Attachments

  • Screenshot_2019-08-07-17-42-27.png
    23.1 KB · Views: 33
Je, siwez kujisajili na PARIMATCH bila kuwa na promo code?
 
Msaada jaman ambae anatumiaa SAFARICOM kubet karibu naomba msaada kutoa pesa kule maana najitahid kuitoanashindwa inabak inapungua tyuu na sahz wamesem hawatumiii mobile payment so anaetoaga anisaidie basiii nifanyajeee
 
Nani kasema Parimatch wanakata Kodi ? Aangalie hii screenshot imepigwa dakika moja iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…