Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #2,101
Hili kombe wanaopiga ela ni wale wanaobet mechi moja na kuweka mpunga wa kutosha. Na unabet ushindi suluhu tu hamna kuamin timu kombe limekuja kivingne
nimepiga laki na kumi yangu swaafi, Hongera ghana kwa draw, hongera Nigeria kwa win
betting is all about taking risk, just kuzipa nafasi timu ambazo sio favourite na unatulia kusubiri mpunga kiulaini kabisa!
Wakuu nipeni maujanja ya leo mazeeeee
ndugu hii worldcup haina ujanja game hazitabiriki kabisa, labda ujanja wa ziada chagua kipindi cha pili kuwa na magoli mengi zaidi ya cha kwanza
Mkuu naomba nifafanulie jinsi ya kubet vipindi, nimesoma nikaelewa jinsi ya kubet handicap na normal, zaidi ya hapo sijuwi.... na kwa mfano katika handicap timu yenye advantage na goli nikibet draw wakatoka 1-0 nimeshinda? kwa mfano wanacheza Brazil na Tanzania obvious Tanzania watakua na goli moja tayari, (+1) sasa mm nikabet draw na Brazil ikashida moja bila, iyo ndo draw? na nini maana ya mkeka, nikubet zaidi ya timu moja kwenye both normal na handicap? naomba msaada niingie kundini, nimekuwa nikibet kimoyo moyo na nashida
Hiyo nafanyaje rock me natumia mbet
hiyo hadi kwenye vimashine au centre za kubetia, kwnye simu m-bet hamna hiyo option.
kwaiyo kwa M-bet utachagua moja kati ya normal na handicap? vipi kuhusu kubet kwa vipindi? yani kipindi cha kwanza itakua draw? natumai kwa jina lako lazima utakua mwanza, na mie niko mwanza, sehemu gani mwanza unaenda kubet ili nijongee na mm na ipi ni kampuni nzuri? najua zinatofautiana japo sizijuwi ....
Dah! Germany kala mtaji wangu woooote na faida juu. Hii world cup nuksi tupu, bora ligi zianze tu
Du! Hawa belgium presha tupu, stil mkeka unapumua
Du! Hawa belgium presha tupu, stil mkeka unapumua
Wale wa Meridian sasa sio lazima kwenda kwenye vibanda kuweka hela, unaweza weka kwa mpesa namba hao ni 170066 Reference ni jina lako
Nilikua natafuta hiyo,na mpunga wanaptishia mpesa.