Wadau mwenye namba za customer care Premier Bet tafadhari,au pia kama umewahi ku_withdraw ukaambiwa blocked user ulifanyaje ukaipata pesa yako uliyoshinda kwenye akaunti? Natanguliza shukrani za dhati...
Hata mimi upande wa sportpesa tokea juzi hiyohiyo nineweka hela ila mpaka sasa hawajaniwekea, na nimeshindwa kubet since hiyo siku.Mimi niliweka pesa toka juzi mpaka leo haijaingia ingawa salio linaonesha pesa imekatwa. Nimewasiliana nao wameahidi kushughulikia mpaka hivi sasa pesa haijarudishwa. Hawa PREMIERBET wana huduma mbovu sana
Hata mimi upande wa sportpesa tokea juzi hiyohiyo nineweka hela ila mpaka sasa hawajaniwekea, na nimeshindwa kubet since hiyo siku.
Fuatilia huo mjadala utagundua primierbet ni wapuuzi... View attachment 1178229View attachment 1178230View attachment 1178231View attachment 1178232View attachment 1178233View attachment 1178234View attachment 1178235View attachment 1178236View attachment 1178237
dogo usimalizie..ntamalizia mimi**** la Mama Yako
Muuza Odds
WOOOOOOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA[emoji39][emoji39][emoji39]Nipo hapa tukutane baadayeView attachment 1178195
Tangulieni nitawakuta kwa wakala won tayariNipo hapa tukutane baadayeView attachment 1178195
parimatch.co.tz. Kuna M- Pesa na Tigo PesaMkuu, hiyo Parimatch ya wapi? Kuna Njia za kuDeposite za Tz mobile?
Maana naiona ipo tofauti na Parimatchtz!
Aisee....Tangulieni nitawakuta kwa wakala won tayari
Direct win [emoji95]
hasira nimepata mimi mamaeeeFuatilia huo mjadala utagundua primierbet ni wapuuzi... View attachment 1178229View attachment 1178230View attachment 1178231View attachment 1178232View attachment 1178233View attachment 1178234View attachment 1178235View attachment 1178236View attachment 1178237
Ubarikiwe Mkuu,hizi kampuni maandazi zifungiwe tu,usawa mgumu,tunaliwa na hizi kampuni kila siku,ikitokea one day umewala hawataki kulipa mzigo,wanasingizia terms and conditions,inaboa sana...Fuatilia huo mjadala utagundua primierbet ni wapuuzi... View attachment 1178229View attachment 1178230View attachment 1178231View attachment 1178232View attachment 1178233View attachment 1178234View attachment 1178235View attachment 1178236View attachment 1178237
Japo bet pawa wana mapungufu yao asee ni salama sana kwa kubetia !!
99.9%SUNDAY
TKT-1
FFAYENOORD OV2.5(1.50)
FORTUNA SITTARD OV 2.5(1.50)
TKT -2
ZWOLLE OV 2.5(1.50)
FC NORSDJ OV2.5(1.40)
TKT -3
V.PLZEN WIN(1.50)
E.FRANKFURT OV 2.5(1.50)
TKT -4
fEYENOORD GG(1.50)
hacken win or DRW(1.45)
ALL D BEST
Du hawa premier kumbe ni mikwundwu kiasi hiki? Na pia wamewaajiri majitu maboya ambayo hayawezi hata kuwasaidia wateja kwa ukamilifu????Fuatilia huo mjadala utagundua primierbet ni wapuuzi... View attachment 1178229View attachment 1178230View attachment 1178231View attachment 1178232View attachment 1178233View attachment 1178234View attachment 1178235View attachment 1178236View attachment 1178237