1XBET System yao imeleta shida kidogo safaricom kutoka jana inakuu rejected au ni kwangu tu? Ingawa pesa imetumwa from safrcm kuwafikia 1xbet ila wao kuileta kwenye a/c kuna mushkel
sawa mkuu wacha tujipangeHayaaa hayaa
Meli ndo iyooo inaelekea visiwani ushelisheli.
Tukutane baadaeee.View attachment 1178968
Duuh.! unajua kwss betting ni ajira kabs ukibet kwa nidhamu.Tuendele kushrikiana ili kwa pamoja tumkomeshe kanji.Sisi sote ni familia moja katk bet.
Niombeeni meli ifike jamaniView attachment 1178989
Zikoje kakaMbona jana nimedeposit iko poa tu, unatakiwa ujaze email na namba ya simu. Kumbuka taratibu za kuweka hela zilishabadilika
yeahh ni kweli.Mbona jana nimedeposit iko poa tu, unatakiwa ujaze email na namba ya simu. Kumbuka taratibu za kuweka hela zilishabadilika
Hayaaa hayaa
Meli ndo iyooo inaelekea visiwani ushelisheli.
Tukutane baadaeee.View attachment 1178968
So unapojiunga unaandika uko kenya au?
1XBET imefunguliwa?Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Nimekubali mshua JK
The House Always Win
ume activate acc ?Ilinigomea mwanzo kabla ya hapa nikasema nijaribu kiwango kidogo..
nikaishia kula rejected tuView attachment 1179073View attachment 1179074