Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mkuu
kwani we unatumia njia gani ya malipo
 
The House Always Win
yeah..manake ni kua hata kama group zima la wazee wa kubet tukila kila siku,bado faida kwenye makampuni zipo..na hii tuwashukuru wote wanaotandaza mikeka mirefu kwa buku na buku mbili zao,,hawa ndo wengi na ndo wanachangia high stakers,,,ndo maanaa premier bet na meridian bet server na huduma zao online zinasumbua sana,,wanafanya makusudi ili faida isipotelee kwa single bet stakers ambao wengi wao wanabetia online tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…