[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma sana...Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Huko unadeposit vip na vipi kuhusu kutoa ukishinda?Parimatch ya Ukraine
Jamaa unanifurahisha sana yaani unauliza swali na kujijibu, hizo ni dalili za uoga afu huo mkwanja mrefu unaeza kuta unaongela 30kWadau,hivi hawa Bitcoin hawazingui kweli kwenye kutoa hela...maana nataka niweke mpunga mrefu kwenye account yangu ya 1xbet sasa ninahofu huenda nikiwapiga parefu pesa zangu zinaweza kugoma kutoka..si unajua hawa 1xbet ukiwapiga mkwanja mrefu huwa ni shughuli kuitoa
Naona mbet wameboresha app yao nimeikuta play store
ok bro nimechat nao wanasema kudeposit kwa mpesa inasumbua tena ila ipo kutoa tu kwa mpesandio ndio
wanatuma notification kwa safaricom wao safaricom wanakuwekea sehemu ya pin ili ukubali kiasi ulichotaka kitumwe wakikate na kuwatumia jamaa.
Hii ni zaidi ya Risk taking
Hahaha nabeti jombaaNa ww unabet
Wapigie bure 0800 78 7878Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Mkuu babapecha nilikuuliza unadeposit kupitia njia gani?Parimatch ya Ukraine
Nachambua mkuu ... kuotea tena.
Vip kaka tumwage mzigoo au mashaka furaniLeo ni leoView attachment 1179384
Mkuu ikikupendeza siye wabetpawa tunaomba uwe unatupa na linkLeo ni leoView attachment 1179384
Ushauri wa bure
Kama una ndoto siku moja utakuja kupiga hela ndefu kwenye betting basi ni vizuri ukaachana na makampuni ya betting yasio sajiliwa Tz
Kampuni za kibongo zinaweza zikawa hazina options nzuri but ndio njia salama zaidi kupata mkwanja wako uki piga parefu
Jamaa yangu kashinda point kibao kwenye 1xtoto jacpot
Acc imepigwa block anatakiwa kutuma id, bank statement na mataka taka ya kijinga kijaza
Eti acc iko under verification process
Hii hata mimi kwangu inagoma hiv hiv.Ilinigomea mwanzo kabla ya hapa nikasema nijaribu kiwango kidogo..
nikaishia kula rejected tuView attachment 1179073View attachment 1179074
Nicheki 0675856398 nikuelekeze