Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Kama huogopi kodi, sportpesa wapo vizuri.
Kwa alive pandaa melii yetu inakaribia kufika visiwaniiiiiHayaaa hayaa
Meli ndo iyooo inaelekea visiwani ushelisheli.
Tukutane baadaeee.View attachment 1178968
WOOOOOON Tukutane kwa wakala.Leo ni leoView attachment 1179384
Kweli kabisa mkuu. Hayo ma 1xbet huko ukiwapiga pesa ndefu ni wagumu kutoa pesa asee. Utaambiwa uende ofisini na ww ndo kwanza upo Kwa Ndambi ati uende Russia. Kampuni ya bongo ikizingua unaweza enda shtaki ama fika ofisini kabisa!Ushauri wa bure
Kama una ndoto siku moja utakuja kupiga hela ndefu kwenye betting basi ni vizuri ukaachana na makampuni ya betting yasio sajiliwa Tz
Kampuni za kibongo zinaweza zikawa hazina options nzuri but ndio njia salama zaidi kupata mkwanja wako uki piga parefu
Jamaa yangu kashinda point kibao kwenye 1xtoto jacpot
Acc imepigwa block anatakiwa kutuma id, bank statement na mataka taka ya kijinga kijaza
Eti acc iko under verification process
Acha tu asesorndyte na AGF anaondoka n 20k
sorndyte na AGF anaondoka n 20k
ulimuweka mkuu mim.nilimpa; over 0.5Acha tu ase
Mimi amesepa na 10k. Navizia MUNICH ifike dkk ya 25 nijilipue
Hebu weka link itapendeza zaid
Hebu weka link itapendeza zaid
Mkubwa utaki kujibu msg yangu Inbox?
Daah hii kesi ya kona ni noma sana. Mi mwenyew niliweka under 5.5 kona FT sportspesa. Na gemu ilitoa ilA mpka leo mkeka upo active hawajawahi nipa pesa yanfu....Ukiwapigia wanakwambia wanalishughulikia. Mpka nmewaachaga mm wapumbavu waleHivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Daah hii kesi ya kona ni noma sana. Mi mwenyew niliweka under 5.5 kona FT sportspesa. Na gemu ilitoa ilA mpka leo mkeka upo active hawajawahi nipa pesa yanfu....Ukiwapigia wanakwambia wanalishughulikia. Mpka nmewaachaga mm wapumbavu wale