Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani ule mkeka wako kama vile ndo umeniongezea nuksi!

Hebu kesho nitafutie mwingine, maana leo nina majonzi ya kufungwa na Yanga pia.

Naachana na meridian ndugu. Karibu bet365.


Huyu Chelsea huyu

Ndugu andybird chelsea achana nae. Hakutendei haki kabisa. Amekuua vya kutosha. Safari hii mkatae mazima.
 
Wadau nisaidieni nataka kuinstall app ya meridianbet na nimeshainstall ila nikitaka kuifungua inaniambia check your internet connection or region access restriction. Nifanyeje wadau ili niweke mkeka fasta?

Usitumie app inasumbua...tumia browser.
Ukitumia application labla usiku sana ndio inakubali.
Browser ipo vizuri ila nayo kama ni wiki end tupia mapema ikifika sa tano huwa inazingua
 
BET WON

leo game zilikuwa ngumu kidogo.. tunashukuru mwenyez mungu hata kwa kidog..

Hongera mkuu hata mie jana nimepiga ka30 kwenye buku2 ivi inachukua muda gani ukiiwithdraw hiyo ela kuingia kwenye account ya M PESA .
 
Hongera mkuu hata mie jana nimepiga ka30 kwenye buku2 ivi inachukua muda gani ukiiwithdraw hiyo ela kuingia kwenye account ya M PESA .

Hahah inaonekana mhindi alikua qnakutesa sana tangubnakuona humu ulikua hujawah kuwithdraw?

Sasa mkuu hako ka buku 30 si bora ukaache tu humo humo ili ukatumie tena wiki ijayobkutandaza mikeka
 
Hahah inaonekana mhindi alikua qnakutesa sana tangubnakuona humu ulikua hujawah kuwithdraw?

Sasa mkuu hako ka buku 30 si bora ukaache tu humo humo ili ukatumie tena wiki ijayobkutandaza mikeka

ha ha ha ni roho ngumu tu na ubishi unafanya tuendelee kuwa humu nimewahi withdraw mara1 tu tena kitambo sana hadi nimesahau huwa inachukua muda gani bora nikatoe afu nikarudishe yawezekana huu ndo muda wangu wakupiga ela.
 
Jumamosi ya jana mimba kwa baadhi ya watu wengine wamepiga mimi na wengine hakuna kitu ila sio mbaya leo siku nyingine tuone inakuwa vp Jr
 
[TABLE="class: table, width: 721"]
[TR]
[TD]Liaoning Whowin Fc - Henan Jianye[/TD]
[TD]1.46[/TD]
[TD]Liaoning Whowin Fc Win[/TD]
[TD]Sep 27, 2015 - 2:35 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fc Eindhoven - Den Bosch[/TD]
[TD]1.51[/TD]
[TD]Fc Eindhoven Win[/TD]
[TD]Sep 27, 2015 - 3:30 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Flamengo - Vasco Da Gama[/TD]
[TD]1.56[/TD]
[TD]Flamengo Win[/TD]
[TD]Sep 27, 2015 - 10:00 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nacional - Vitoria Setubal[/TD]
[TD]1.79[/TD]
[TD]Nacional Win[/TD]
[TD]Sep 27, 2015 - 6:00 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Twente - Roda[/TD]
[TD]1.56[/TD]
[TD]Twente Win[/TD]
[TD]Sep 27, 2015 - 5:45 pm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Dah jana BTTS/GG zilikuwa nyingi sana..championship na EPL, tumezikosa.
 
Jamani kuna mtu ametoa kwa mpesavkwa sisi wa online kwa siku za karibuni....ushuhuda
 
Jamani kuna mtu ametoa kwa mpesavkwa sisi wa online kwa siku za karibuni....ushuhuda


Mie nimetoa tokea juma tano ila jana ndio imeonekana kwenye m pesa cha ajabu nikitaka kuitoa kunaonekana kama hakuna salio nimewasiliana na voda wanasema eti bdo iko hewan xo nko nasubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…