SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Ashawah nchoma mara 2 huyo kondoo. Nikampa red alert. Nikimwona nasema tu moyoni 'hapana, nashukuru'.Inakera sana, sijui ilienda kufanya nini uwanjani.
Alipigwa red ndomana.Gala Gala Gala Galatasaray.... [emoji3][emoji3][emoji3] Huu mchezo hata wahindi hawaamini.
Alikosa penalti ndo maana.Alipigwa red ndomana.
Mtandao gani huu mkuuAcha tamaa kama mimi....chagua chache utupie dau utusue mapene😀😎 😀
View attachment 1182996View attachment 1182997
Inakera sana, sijui ilienda kufanya nini uwanjani.
Brugge kaenda na pesa zetuClub Brugge !!!
Mkuu,had mda huu naenda vzur na ile strategy ya 1.2 single bets,tokea mchana Mungu amesaidia kdgo mpaka now nmetengeneza 40k faida..ingawa sometime nilikua siwek 50k kabisa,naweka 30k or 20k,..ila,ndo hvyo not a guaranteed thing,najitahid kwenda sawa na hiz inplay single za 1.2....Mkuu naamini umepost hapa kupata ushauri na maoni tofauti tofauti
Sijawahi kuwa muumini wa odd ndogo kwenye mkakati wa muda mrefu
Huu mkakati wako unataka bashiri zako ziwe za kiwango cha juu sana kwa sababu ya wastani wa odd zako 1.06 hadi 1.3. Tu assume wastani ni 1.2
Kwanza angalia rekodi ya uwiano wa won na lost kwenye bet zako (wakamalia wote lost huwa nyingi zaidi ya won)
Je una weza kushinda mara 5 mfululizo bila lost?
Kwasababu uki stake 100k kwa odd 1.2 faida ni 20k, ukipoteza mara moja utahitaji ushindi mara 5 kurudisha 100k, na ukipoteza mara 2 utahitaji ushindi mara 10 kurudisha, the more you lose the more you need more won just to recover your stake......not to make profit
Ukicheza mara 10 ukapoteza 2 tu una hasara hapo maana yake accuracy ya bashiri zako inatakiwa iwe zaidi ya asilimia 90....... can you do that? Kila la heri mkuu
Odd always zipo against na mkamalia na zinam favour bookies
Odd ndogo rahisi kuzipata lakini ngumu kurudisha stake ukipoteza
Odd kubwa ngumu kuzipata lakini ni rahisi kurudisha stake na faida ukishinda
Premierbet mkuuMtandao gani huu mkuu
Bado goli moja ungekuwa umepigaHuu utatoa halaf utajilaumu
Bado goli moja tu sahv2.5 naiogopa kinyama
Niki click sehemu ya Register hairespondKama huna account c unajiunga tu kupitia websites yao?? Mkuu unakwama wap
Anhaa,ile ya mda ule,sawa sawa,sikuiweka ile dah,..naogopa sana multiple,nmecheza single tuu zile za 1.2 toka mchana ule,..kwa stake za 50k,na 30k na 20k...si haba mpaka mda huu nna ka faida flan ka 40k..nawaza nilale imetosha kwa leo maana target yangu ni kutengeneza 10k-30k kwa siku.so nsije nkapigwa bure nianze kujilaum,match zenyew zmeshaishaBado goli moja tu sahv