Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada contact parimatch, nimewapiga hawataki kutoa mpunga tangu jana
 
Aisee hii naanza kuamini kabisa kabisa
 
Nahitaji kujifunza betting ila sjui naanzia wapi na wanabetije, nimejaribu kuangalia thread hii naona mauza uza tu, naomba msaada wenu mnielekeze nianze na mimi kubet kwenye cmu, njia rahisi ya kubeti
 
Wachawi hawaishi haki ya nani sasa kwa mwenxo huu km ukisema upige ban utamaliza timu zote haki ya nani.

Pyunik!Pyunik ww ni mbweha.
 
Nahitaji kujifunza betting ila sjui naanzia wapi na wanabetije, nimejaribu kuangalia thread hii naona mauza uza tu, naomba msaada wenu mnielekeze nianze na mimi kubet kwenye cmu, njia rahisi ya kubeti
Sikushauri uingie huku ndugu yangu ni full stress

Ikiwa una insist basi google betpawa tz kisha fungua acc
Deposit hata buku uanze mazoezi kwa stake ndogo kabisa ujionee yaliomo yamo?
 
Ungefata au ulitaka kunikatisha tamaa?
Anyway, mkeka niliweka mapema sanaaa humu, pitia utaona.
Poa mkuu, sorry kama umenielewa vibaya ntakua sikuuona o time, ila nashukuru kwa kutujali maana sio kila anaejilipua anakubali kushare
 
Sikushauri uingie huku ndugu yangu ni full stress

Ikiwa una insist basi google betpawa tz kisha fungua acc
Deposit hata buku uanze mazoezi kwa stake ndogo kabisa ujionee yaliomo yamo?
Shukran mkuu, Ngoja nijaribu
 
Nilikuwa naona Professa akiweka humu mikeka yake, siku moja nami nikasema acha nijiunge Meridian nipige pesa kupitia nyota yake.

Akaweka mkeka wa kwanza nikakopi na kupaste, mwisho wa matokeo ikawa ndo hivyo tumepoteza. Nikapiga moyo konde nikaweka tena mwingine alioweka pia ikawa ndo hivyo.

Akakaa kama siku mbili hajaweka mkeka, siku alipoweka nikaruka nao ila wapi ni mwendo wa kupigwa tu. Mwisho nikasema acha nifanye yangu. Nikaanza kubet mwenyewe kwa mawazo yangu nikawa nakula muda mwingine napigwa.

Jana nimekaa na kusaka pointi 15 na zikawin, leo nisaka 22 najua zitawin.

Kwa sasa hata nione humu fixed match siwezi kukopi nitakomaa na akili yangu.

Na wewe unayeleta humu mkeka omba nisiukopi [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Kwamba ukiokopi tu, hola! [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…