Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Tatizo siyo stake. Rejea siku naweka humu historia yangu na Proffesor, siku naamua kumfuata kwenye kubet ndipo alianza kupoteza na akaamua kuwa kimya hadi leo.Sh mia tisa hamsini inakutia kizungu zungu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo spurs lazima ataondoka na kijiji, lazima anakufa kwa newcastal
Tupe sababu za Spurs kufa leo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Achana nae hana sababu yoyote
Tatizo hujui nasema nini.
Tatizo langu siyo stake ila ninapoamua kukopi mkeka wa mtu humu basi mambo huenda mrama.
Hata ningestake mil bado hili tatizo la kufeli kwa mikeka inayokopi lisingetoka kichwani.
Tatizo siyo stake. Rejea siku naweka humu historia yangu na Proffesor, siku naamua kumfuata kwenye kubet ndipo alianza kupoteza na akaamua kuwa kimya hadi leo.
Alileta game kama 3 nami kiukweli nikasaka mtaji kiasi ila sikupata mechi hata moja. Tatizo siyo stake tatizo kwanini nikiamua mambo yanaenda mrama.
Mbona stake meme sijaiona wameionea wap hawa wazee wa chabo hahahahahah
Hii ilikuwa siku ya kwanza namfuata Proffesor. Tena nilibet over 0.5 1H ikadinda.Nimekuelewa mkuu maombi yangu yako kwa wolves mwenyewe nilimfuata single bet second half II 1-2 total goals
Siku ya pili kwa Proffesor hali ikawa ngumu..Hamna si Code hizo zinaoanzia na 115512 nimeingiza kwa data base yangu ya meridian
Stake kaona kupitia code no: za mkeka.Mbona stake meme sijaiona wameionea wap hawa wazee wa chabo hahahahahah
Ili iweje mkuu, kwa nini unafatilia stake ya mtu, nazani alivyoziba alitaka iwe private ungeheshimu tuHamna si Code hizo zinaoanzia na 115512 nimeingiza kwa data base yangu ya meridian
Naenda kupoteza 950 yangu kwa ujasiri kabisa nadiriki kusema Hiyo pesa imeniuma sana.Ili iweje mkuu, kwa nini unafatilia stake ya mtu, nazani alivyoziba alitaka iwe private ungeheshimu tu
imeishaaa iyooooSpurs anapambana lakin dah!
Ili iweje mkuu, kwa nini unafatilia stake ya mtu, nazani alivyoziba alitaka iwe private ungeheshimu tu
Mkuu kwa nini tena mi naona bora hata hukuweka stake kubwa wasi wasi ndo akiliNaenda kupoteza 950 yangu kwa ujasiri kabisa nadiriki kusema Hiyo pesa imeniuma sana.
Natetemeka hapa nilipo, na sina hamu ya kula.
Wala lisiwape mjadala wakuu, ila hiyo pesa imeniuma sana.Neno private unalielewa vizur lakini ,ila anyway nimekuelwa