Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole Sana Mkuu, jackpot ulitoa mikeka mingapi
Hii kazi ngumu sana sometimes,kanichania mkeka wa treni la gemu20,nimekosa 2 milions kwa stake ya 5000,huku jakport nimepata 9/13,kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
Kama ulifuata basi ujue umekula pesa[emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mikeka yangu huwa nikishare huwa inachanika isee sijui kwann!!!
AS ROMA
LAZIO
ATLANTA
Zote over 2.5 goals....total 5+ odds gudluck watakaofuata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…