Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
watu wameilitungunyua aiseChek saiz naona dau milion mia mbili..
Watu wa JF mna mazarau sana,nawaomba mnisaide mana kazi ya kuruka ombi langu mnaketa habar , jackpot nani anazihitaji sasa? Haya mazarau haya anagalieni
Wakikata kodi hapo inabaki mil370+
Sio poa washatoboa hao.
Nimeona kama iko vizuri sema hakuna record za nyuma zaidiShukrani ngoja nimtathimini kama anweza toa over 1.2
Solihull double chance itapendeza juzi walipigwa na winger wao machachali ana kadi nyekundu all in all kila la kheli
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmnoWatu wa JF mna mazarau sana,nawaomba mnisaide mana kazi ya kuruka ombi langu mnaketa habar , jackpot nani anazihitaji sasa? Haya mazarau haya anagalieni
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmno
Mtu hawezi kukujibu kwa kitu hajawahi tumia
Na kwanini umechagua hiyo kampuni labda?
kafungue akaunti banc Abc then weka hela kwa mastercard 1xbet ,iko poaMpwa mm bado mgeni,nishauri nitumie kampuni gani
Anzia na Betpawa. Web yao iko vizuri inaeleweka sana hasa kwa wanaojifunza Kubeti. Hata kwenye malipo wapo vizuri. Hata ushinde Milioni 10 mzigo unaingia kimyakimya hawana usumbufu wa kudai kitambulisho au kukuita ofisini eti upige nao picha kama Sportpesa wafanyavyo.Mpwa mm bado mgeni,nishauri nitumie kampuni gani
Huu mchezo usivyo na adabu utakuta nusu ya hiyo hela inaishia tena kwenye kubet.Wahuni wamebeba hela za Sportpesa
Aiseee wasiende kunywa bia sasa
Naomba msaada kuweka hii bet,nimeweka buku inahang tu mkeka mbona hauendiView attachment 1190287
Huu mchezo usivyo na adabu utakuta nusu ya hiyo hela inaishia tena kwenye kubet.
Huu mchezo usivyo na adabu utakuta nusu ya hiyo hela inaishia tena kwenye kubet.