Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmmmhhh ngoja nikalale tuu yani dakika ya 10 washaanza kufungwa Leo siku mbaya sana,,
 
Pole sana

Mi sinaga kiherehere na mechi kubwa wala ligi kubwa

Mimi kanji namla dsily 2odds yaani na select timu zangu tano ten naweka first half double chance napata 2odds
Mmmmhhh ngoja nikalale tuu yani dakika ya 10 washaanza kufungwa Leo siku mbaya sana,,
 
Haye magoli yako wapi mkuu mana ubao unasoma 0-0
Kubet bwana ni strategies tu
Fateni formula yangu tu matokeo mtakayo yapata naamini mtayapenda

Rule no 1 usibeti ligi kubwa,mechi kubwa
Rule no 2 double chance first half

Apo una select timu zako tano unapata 2odds yaani hapo wewe kilio utakisikia kwa jiranii
 
Naanza nayo kesho hela haziwezi kwenda hivi hivi lazima zirudi na zikirudi naacha kabisa kucheza maana mmmhhh
 
Pole sana

Mi sinaga kiherehere na mechi kubwa wala ligi kubwa

Mimi kanji namla dsily 2odds yaani na select timu zangu tano ten naweka first half double chance napata 2odds
Ligi gani mze baba unacheza
 
Unga umeshakolea mzee kuacha sio rahisi
Taacha tuu maana hata Nikila zinarudi tena,, Jana nilikuwa laki na 80 , nikatoa 50 nikacheza Madrid wakachana, nikatoa twenty nayo ikaondoka na Leo tena twenty imeenda hivi hivi kiutani utani tuu ,,,,, sasa saizi nikila naacha kucheza kabisa....But takuwa nacheza jackpot labda naweza vuna hela siku moja
 
Pole sana

Mi sinaga kiherehere na mechi kubwa wala ligi kubwa

Mimi kanji namla dsily 2odds yaani na select timu zangu tano ten naweka first half double chance napata 2odds
Mkuu hebu weka mfano wa hizi first half double chance maana umekuwa ukiisema sana but sijawah kukuelewa yaan unamaanisha win or draw, any team to win, au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…