Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu, ulichokiongea naunga mkono hoja kwa 100%. Sisi watz ni wavivu sana sana (na mimi nikiwemo). Unakuta mtu ana bundle la kubetia halafu anakuja kuuliza namba za simu za sportpesa na anarudia mara mbili mbili. Au anakuja kuuliza jinsi ya kudeposit wakati maelekezo yote yapo kwenye web husika, au akamwuliza mhudumu akamweleza.
 
Hongera Mkuu

Na Umeongea Point Sana Ila Ni Ngumu Sana Kwenye Forum Kama Kuzuia Hayo Maswali Cha Msingi Tujitahidi Yapungue.

Kuhusu ODDS

Mimi Ni Mmoja Wa Wahanga Wa Kupigwa Betting Ila Kuna Siku Nilikaa Nikawaza Nikaona Mara Nying Ni Upumbavu Wangu

Timu Nyingi ODDs Mlima Naishia Kupata Loss Tu

Nikaona Niwe Nafanya Hivi,

ODDS: 1.84-1.65
GAMES: 3 Kila Mkeka
Mikeka Mitatu Tofauti

Means Nachagua Timu Tatu Zenye ODDS 1.84 Hadi 1.65 Natia Mkeka Nasuka Mikeka Ya Aina Hii Mitatu Timu Tofauti.

Total ODDS Npata 4 Had 5.... Hutegemea Na Mechi

Nikitoa Mkeka Mmoja Nina Faida Ya Buku 3 mpka 6

Ikitoa Miwili Nina 20k, Ikitoa Yote Basi Napumzika

So Per Day Napata Had 10k Kama Target Na Mtaji Wa Nimeanza Ni 3k Kwa Mkeka Means 9k Per Day.

Nimeanza Jan Nikala Kichapo Ukatiki Mmoja Leo Pia Mmoja
Sikati Tamaa Nakomaa Nayo Hii Mwezi Mzima.

Nilichojifunza Kuliwa Kunatokana Na Tamaa

KAMA UTAWEZA KUKOMAA NA STATEGY YAKO UTALIWA KIDOGO UTAKULA SANA.
 
Na kuizibiti tamaa nayo ni issue ingine hyo ni nature ya binadamu.
 
Amn kitu kimeniuma kma kupishana na odds 40 za camp bet dah nilivo angalia mida ile sa saba nkajua mechi ni ya usiku si nkajua ni mishale ya marekani mida ya sa mbili nataka ni stake kila nki search mechi sioni nakuja kuangalia sofa score mechi imepigwa mchana dah 40 odds Afu ilikua over 6.5 na mechi imetoa 10 goals.

Yaan hawa mi ntawafataaa sijawahi poteza tangu nianze kuwafata mdau nshinshon sijui unazionaa
 
Betting app ipi inapatika kwenye iphone 6 please
Mkuu mbona simple tu we nenda kwenye app store andika BETTING tips zitakuja za kutosha chagua zinazo kufaa ukiona zinakuzingua futa search zingne.
 
Mkuu wanaitwake HIO KAMPUNI...
 
Daah mawazo yetu yalifanana asee.. mi pia niliivutia kasi hiyo game nikajua ni usiku asee daah,,,kiufupi CAMPO BET ni hataariii
 
Jungle uungwana ni vitendo mimi sikutaka kumtusi japo uwezo wa kufanya hivyo ninao mkubwa sana ila naheshimu sheria za JF ziko wazi kabisa!

.
Acha apate zawadi yake huu ni mwezi wa 10 usishangae akirejea mwakani mwezi January
Umesababisha jembe langu limepigwa ban?
 
Campo bet ni timu au kampuni?
Sijakuelewa
 
Daah mawazo yetu yalifanana asee.. mi pia niliivutia kasi hiyo game nikajua ni usiku asee daah,,,kiufupi CAMPO BET ni hataariii
hawa majamaa nilitaka kujiunga nao nikashindwa kwani sikuona optn ya nchi yangu Tz afu kweny pesa nikaona mamb ya euro. Yaan nataman nijiunge nao ila nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…