Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 668
- 1,510
Kwwli Mkuu, Asante Na Usichoke Kushea Nilikufuata Mikeka Yote Kwa Buku Jero Kila Mmoja.Sparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
Sparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
Huyu ana hali saivHaha hahah Mimi nimelaza 20,500 hapa
Bordeaux,Everton,linfield,York city.newels old boys.santos laguna.inter milan.atletico Madrid na Los Angeles all win odds 60+
Kwwli Mkuu, Asante Na Usichoke Kushea Nilikufuata Mikeka Yote Kwa Buku Jero Kila Mmoja.
Odds Zako Nyingi Ziko Real, Usichoke Ku Share Siku Tukifurahi Tufurahi Wote Nimebaki Na Huu Tu Unapumulia Mashine.
All In All Asante Sana. View attachment 1248453
Huwezi kuachwa hapa. Lazima upigwe. Unampa kilaza alaves atoe droo na Atletico. Tuacheni utani wakati mwingine.
W
You are not really fair my brother, kuwatoa watu kwny group doesn't guarantee your winning, chukulia wa2 wote xawa afu kumbka unayemdharau anaweza kua na mchango mkubwa zaidi yakoShida mkuu. Ebu tuambae na hizi kwa leo. Usichanganye. Tukutane jioni. Hiyo ya 4 tumekawia.View attachment 1247938View attachment 1247940View attachment 1247943View attachment 1247948
Huyu aloniponda Alaves kutoa yuko ap [emoji81][emoji81][emoji81] namsbil barca nkachomoe M 1 na lak 9 afu kuna MTU alsem balance 0.. Yes hyo nliwap draft Ila mkeka uko parimatch
Mkuu hawa achana nao ww piga pesa ila usisahau kushare bossHuyu aloniponda Alaves kutoa yuko ap [emoji81][emoji81][emoji81] namsbil barca nkachomoe M 1 na lak 9 afu kuna MTU alsem balance 0.. Yes hyo nliwap draft Ila mkeka uko parimatch
White Hawks hali yake mbaya huko, ila sio kesi huenda leo mambo hayajawa mazuri na ni timu kama 2 au 3 hivi ila nimejifunza kitu kupitia mikeka yako braza..Ngoja niwasubil hawa wawil nipungze hasara
Parma kanilaza mapema sana leo
You are not really fair my brother, kuwatoa watu kwny group doesn't guarantee your winning, chukulia wa2 wote xawa afu kumbka unayemdharau anaweza kua na mchango mkubwa zaidi yakoShida mkuu. Ebu tuambae na hizi kwa leo. Usichanganye. Tukutane jioni. Hiyo ya 4 tumekawia.View attachment 1247938View attachment 1247940View attachment 1247943View attachment 1247948
yaani PLAYMASTER TANGU WAMEGUNDUA WATU TUNAPIGA PESA KWA NJIA YA OPTION YA SUB WAMESHUSHA YAANI ODDS ZA SUB MARA WANAWEKA 1.17, 1.14, 1.13 AU 1.15 YAANI WANATUZIBIA PESA ILA SASA INABIDI TUHAMIE KWENYE RED CARDS INGAWA NA PENYEWE HUWA PAGUMU LAKINI TUTAKOMAA HIVYO HIVYO...
Heshima yako mkuu kwenye Ice hockey Sparta huyu daa bahati imekuwa kwa mhindi Leo but NO RETREATE NO SURRENDERSparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
Wamenikera sana nilikuwa naponea hapo. Yaani game nne tu nina odd 2.07
Now nabangaiza kwenye 2+ na no red card. Ila red card nazo kuna muda kichomi sana
PM BETKampuni gani Hii?