Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

“Win by one goal or draw”

Msaada wa hiyo option, nina maana yake halisi

Ashinde kwa goal moja tu asizidi zaid ya moja au draw ya 1-1/0-0. Japo nahis kwenye draw inaweza kuwa draw yoyote ila ushindi ndo lazima iwe goal moja tu
 
Nimekosea kwenye ku deposit meridian ,nimeweka namba ya kumbukumbu tofauti hii inakuaje badala ya 1352730 nimeweka 1352739 vp hapo wadau kuna mtu iliwahi kumtokea?? Na nani anamba ya customer care ya meridian
 
Oi niaje, hii ni 22bet?? Na kama ndiyo jnatumia njia gani kuweka pesa?? Na je, hawana usumbufu??
Sparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…