Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sio rahisi kama unvyoeleza mkuu
Nimewa kuijaribu hii strategy
Ni bahati na sibu tu
Cash out inakua kubwa au ndogo au hakuna kabisa kulingana na ukubwa au udogo wa uwezekano wa kushinda au kushindwa game zilizobakia

Ila ni vizuri kama unavyosema umepata bahati ya mkeka kukaa vizuri na cash out ikawa inalipa chukua chako mapema
Niliwahi kiacha cash out ya kilo7 game mmoja imebaki ili nipate m2.3
Kilicho nikuta sitarudia ujinga huo
 
*GIVES US THIS DAYS*

*Number:Z3QS95V9*

*5 odds*

Beijing Royal Fighters - Zhejiang Golden Bulls
Under HT(107.5) 1.90

2175Tour Finals London
Thiem, Dominic - Berrettini, Matteo
Over 1st Set(9.5) 1.60

1590Northern Ireland Open 2019
Trump, Judd - Jiahui, SI
1HH 1.10

2002Northern Ireland Open 2019
Doherty, Ken - Un-Nooh, Thepchaiya
2HH 1.28

2008Northern Ireland Open 2019
Chandler, Harvey - Maguire, Stephen
2HH
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanifurahisha sana wewe
wewe furah tu, ila mimi ndiyo naendelea kutimiza ndoto yangu ya kununua sim ya ukwel kwa kubet.
nlianza kwa mia tano, mpaka leo nina kama 1,300.
mia tano moja niweiweka inizalie 600 mechi ya jion leo, mia tano nyingne ndiyo natarajia inipatie 12,069.
katka hiyo yote miwil, mmjo lazima utiki. kwahiy mtaji uko pale pale.
12,069 ikikubali, nitachukua kama nusu yake, nitandaze mikeka mingine ya mia tano mia tano, hapo elf 5 itakuwa imeingia kwenye lile lengo la kunnua simu.
 
Mashallah sauda binti.......Mungu akuwezwshe kwahili ufanikiwe ma dia
MAOMBI yangu kwa Allah swabahana WA taala
 


Hii imenikuta na mm pia ... nilideposit tar 2nd Nov ... nikapata sms ya uthibitisho from Vodacom tar 3rd Nov. Nimepiga Meridianbet bila mafanikio ... nimekuwa mpole tu.
Nachelea kuamini km wameamua kututapeli. Sema support system yao ni mbovu sana.
 
Hiyo nidhamu kuna kipindi itakupeleka kununua gari,umenifurahisha sana. But why hauna ( danga)?.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Meridian miyeyusho mie nilikosea kuweka mia kama na 50 hivi, nikakosea namba ya utambulisho wakaniambia muamala wanauona ila hiyo pesa imekwenda na maji, hawawezi kurudisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…