kudanga mkuu ni kujchafua tu wasifu wako, nilijaribu kipind fulan, nilipoangalia miaka yang ya baadae itakuwaje, nikaona itakuwa mibay. nikajiweka kando, niangalie maisha ya baada yatakuwaje.Hiyo nidhamu kuna kipindi itakupeleka kununua gari,umenifurahisha sana. But why hauna ( danga)?.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Buddycc sauda
usiziacheView attachment 1262949
Safi saudaaa pambaanaaa utatokaa diaaa ukimpa MTU.umpe.kwa UPENDO wakoo sio kwa Shida zakoooo mola akutanguliekudanga mkuu ni kujchafua tu wasifu wako, nilijaribu kipind fulan, nilipoangalia miaka yang ya baadae itakuwaje, nikaona itakuwa mibay. nikajiweka kando, niangalie maisha ya baada yatakuwaje.
Safi sana,ngoja tupambane ,ubarikiwe..kudanga mkuu ni kujchafua tu wasifu wako, nilijaribu kipind fulan, nilipoangalia miaka yang ya baadae itakuwaje, nikaona itakuwa mibay. nikajiweka kando, niangalie maisha ya baada yatakuwaje.
[emoji23][emoji23] win either half [emoji119][emoji119][emoji119]Danga ndioo nn ov5.5???
HAHAHAAAA HII ITAKUWA[emoji23][emoji23] win either half [emoji119][emoji119][emoji119]
Watumie email Kali Kwanza ya kuwatia wenge nakumbuka miaka mi3 nyuma meridian wakati ligi inaeleakea mwishoni walimpa west ham odds 20 amalize top 10 hapo alikuwa nafasi ya 7 mechi zimebaki 5 au 4 mie nikatia elfu 20 ghafla ligi ikamaliza jamaa yupo kwny top 10 nikaja ku log in kwny account nakuta elfu 20 yng imerudishwa bet imekuwa cancelled nikawapigia huduma ya wateja wakanijibu fyongo iyo bet ipo cancelled nikawatumia email Kali ndani ya dk 2 nilipigiwa cmu kuombewa radhi na boss wao alipokata simu tu mzigo ukaingia laki 4 cash nikawithdraw na 20 yao walio cancel bet safiiikwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.
jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.
nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.
ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.
kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
Lazima wajekununua fanicha mpwaaBOOOOOM!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
STAKE; Elfu 39090 Won Elfu 50004
Faida; Elfu 10989
[emoji855] nimebakiza Won Elfu 25000 nitoke sokoni leo staki ujinga