Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji855]TOTOAL EARNING THIS MORNING

ELFU 5600

Tips[emoji116][emoji116]

Leo; EURO QULIF.

MATCHES KARIBU ZOTE ZINATOA

FT OVER 1.5

ANGALIZO;

HIZI MATCH
[emoji117]Switzerland vs Georgia
[emoji117]ARMENIA vs GREEK

zinaweza kukuchania mkeka kwa over 1.5FT

[emoji855]zilozobaki we jichambulie odds tamu weka mkeka

wangu tayari

Imeisha hiyo
 
ww ni Scamer na ndio maana grp lako umelifunga hakuna mtu anayeweza kupost chochote ila ww tu, na humu hujawahi kuweka mkeka wako
 
Anayefahamu ii live score jina lake anisaidie please[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Umeanza unsengė wako wa u piddidy?
Wauza odd hatuwataki humu nenda jukwaa la matangazo katangaze biashara yako kule
Hili sio jukwaa la matangazo
 
Umekwama wapi mkuu?
Ulideposit kwa njia gani?
Na unatoa kwa njia gani?
Unapata ujumbe gani?
 
mnatuchosha na makampuni yenu hayo ya nje kila siku kulalama tu hamkomi tu jaman!!! makampuni ya bongo yamejaa hapa kibao mnakimbilia ya nje wacha wawasumbue tu hakuna namna!! maana mtoto akililia wembe mpe akijikata atajijua mwenyewe!!!
Kampuni za hapa bongo hazina sifa ndio maana tuanafata za nje boss
 
Wadau Tujaribu Na Ice Hockey Inatoa Sana

Options: Over 3.5 Hadi Over 4.5 Hadi Over 5.5
League: NHL (USA)
Predictions: Naangalia Vitibet.com

Hii Ticket Ya Jana Kwa Buku 3 Timu 4 Imetoa 13300 Faida 10k

ANGALIZO:
NHL Mechi Zinaaza Saa Tisa Usiku Hadi 12 Asubuhi.

 
Umeishaanza unsengere**-ma humu kuna akili kubwaaz tu wansengere**-ma ndio watanunua odds
 
nimeupitia kweli uko vizuri..mpira naona umeingiliwa na mafia wengi..basketball inatoa fresh pia
 
Wadau anayejua hiyo option mfano ninechagua 1-6 ina maana Matokeo ya mechi yawe VIP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…