Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa nimejifunza kitu hata nikila milion nitakua natoa elfu hamsini hamsini mpaka inaisha hata kwa siku mara 3 huu usumbufi sitakagi
 
Waungwana,,,,ofisi za betpawa zipo sehemu gani kwa hapa Dar? Nime-withdraw pesa tangu tarehe 23 mwezi huu lakini Hadi Leo hazijaingia kwenye halopesa yangu. Napiga namba zao za huduma hawapokei. Nimewafuata WhatsApp bado pia hawanijibu. Msaada tafadhali,,,
 
Hii inaonesha ni namna gan weekend hii watu wametusua kibubu cha mhind mpaka wanakosa pesa za kuwalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushauri hizi kampuni zinazo chipukia siyo nzuri sana kwa kufunga mzigo uki wala pesa nyingi mpaka wa kusanye ndo wakulipe!! Mimi kama siku nataka hela nyingi kweli premier betting,meridian,princess betting ndo kampuni zangu!! Ki hualisia kuhama kampuni etii kwa kuwa ina makato it doesn't make sense!! Mimi huwa hainiumi hata nikikatwa kwa maana sitoi pesa yangu mfukoni mimi nachukua kilicho ivaa!! Ambcho huwa na fanya kama nataka 1m basi nitaweka stake ya kutosha ilinipate profit yangu nayoitaka!! Acheni kukimbili makampuni machanga hayo yanawazingua kwenye malipo mpaka unakosa raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…