Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mkeka ukitiki ntajiona ni fala wa mwisho. Asubuhi niliuandaa, mchana kazi zikabana nkasahau kuulipia. Ningejua bora ningeuweka humu wadau wampige mande kanji. Sio poa kabisa
 

Attachments

  • IMG_2231.JPG
    64.9 KB · Views: 21
  • IMG_2232.JPG
    25.4 KB · Views: 24
Sema kweli ndugu? Ngoja nijaribu
 
An

Anza kulia tu hii ni pesa kabisa

Na huwezi amini niliutengea 50. Ila sio mbaya, kama ipo, ipo tu. Kuna jackpot moja ya perfect12 niliiandaa hivi, halafu nikasahau kuilipia. Kuja kucheki asubuhi matokeo mech 11 zilitick, halafu hakukua na aliyepredict game 11 kwa ufasaha. Nilimind sana.
 
Shukrani sana bro Gini ..kesho nifanye mpango kwa lazima nipate line ya Airtel. Great!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…