Ngoja leo niijaribu mkuu maana sio kwa vichapo hiviHandball probability ya kutotoa sare ni kubwa zaidi..hlf kwa winning rate, volleyball na handball ni nzuri pia kulinganisha na michezo mingn!
Volleyball na handball mtu anaeza tembelea under (ya maximum points zilizowekwa na bookies) ukawa na winning rate nzuri!
Heshima zako mwamba
Mimi ni fala kabisa. 4M nimeikosa kizembe hivi. Sitaki kupanic nisije bet leo kwa pressure nipewe za uso. Sitengenezi behewa, naweka game 5 tu (odds 3-5)natia mpunga wa kutosha. Nahitaji kua serious na hii biashara
toughlendon_1 Nimeku PM mkuu
Nilikua nataka nitumie meridian kumbe ndiyo wana tatizo hili?
Inamana ile double chance si wanainclude over time?Sare zipo mkuu ndio maana kuna overtime
Aisee kweliKusema ukweli ukiweka hela sometimez inadelay sana na ukiwasiliana nao wanakwambia uwatumie msg ya transaction na wakiipata wanakwambia subir 72 hrs sasa mathalan we ulikuwa unataka kucheza leo, si inakuwa imekula kwako ??
Pendelea ligi ndogo ndogo zile kubwa km KHL inatoa sana sare, NHL ya US ni nzuri kwa DCInamana ile double chance si wanainclude over time?
Droo ni ndani ya dakika 60 tuInamana ile double chance si wanainclude over time?
Mkuu Gini tunaomba melekezo una withdraw vipi kwa Airtel Mastercard?Kaka mimi nilichukua ya BancABC mara ya kwanza ikakubali, mara ya pili nikaweka 20k kila niki deposit 15k inaniambia hivo kuwa sina pesa ya kutosha, nakuja kuangalia wamekata 1200 nyingi tu. Nilichofanya nimeachana nayo na nimejiunga na MasterCard ya Airtel Money. Haina usumbufu hata kidogo. Wanakutumia OTP kwenye simu na instantly pesa inaingia kwa account.
Kuna ligi ya USA inaitwa NHL na nyingine ni KHL ya urusi kuna za Finland huko pia. Siyo mtaalam sana wa ice hockey ila kwa option hiyo ni uhakikaaa 98% hamnaga sareee
stevemollelMkuu Gini tunaomba melekezo una withdraw vipi kwa Airtel Mastercard?
Je inapokea na kutoa hela?
Kwenye menu ya mastercard kuna option ya kutoa mpunga?
Kwa uzoefu wa Vodacom Mastercard unatuna hela tu na hakuna option ya kutumiwa na kutoa
Thanx in advance
Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Mkuu kampuni gani yenye option ya double chance
Kichwa chako
Mimi naizungumzia ile ya 12 ashinde yeyoteDroo ni ndani ya dakika 60 tu
Nimekusoma vema, ukiweka 12 ashinde yeyote na wakaenda mpaka overtime mshindi akapatikana si unakula pesa?Droo ni ndani ya dakika 60 tu