Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji16][emoji16][emoji16] . watu wana stress za muhindi.msamehe tu.
Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
 
usjipe uhakika sana mkuu maana hata kwenye Ice hockey kuna sare pia..
 
Mimi ni fala kabisa. 4M nimeikosa kizembe hivi. Sitaki kupanic nisije bet leo kwa pressure nipewe za uso. Sitengenezi behewa, naweka game 5 tu (odds 3-5)natia mpunga wa kutosha. Nahitaji kua serious na hii biashara
umekosaje
 
Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
huyo sungusungu kachanganyikiwa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…