Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Masta we ni shida 🤣🤣🤣
 
Ila nilichogundua mpira ni mgumu kuliko basket kwenye basket sijawahi kupigwa mikeka mitatu mfululizo ila kwenye mpira ni kawaida sana hiyo
 
Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
Hio under si ni kwa seti 1 mkuu, mfano ukiweka under 46.5 ambayo ni kama 47 tu utalinganisha na matokeo ya seti. Mfano set ya kwanza wakatoa 23:20 utajumlisha 23+20=43!

Kama ulibashiri matokeo kuwa chini ya 46.5~47 na seti imetoka 43 hapo amna namna lazma upewe chako tu 🤣🤣🤣 maana unakuwa umepatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…