Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tuone ticket mkuu, sio kuleta maneno tu
Sibishanagi na wajinga jinga mimi.unataga ligi tena,umekejeli hiyo droo ya psg na madrid ,imetoa,bado unataka tiketi..dumb fool na nusu wewe[emoji867]
 
mungu lijaalie teen letu lifike salama ...mpaka sasa limepita vituo 11 salama salmin!!!
 
Hawa makanji na warusi kama uchawi.

timu itakayopewa saaana sijui wanafanyaje wanahakikisha option zilizochezwa saana hazitoi.

mf. % kubwa jana city win & over ilitawala.

Sasa leo kati ya liver na barca option option itakayopewa saana haitoi.
utashanga wa home wan win 1-0.

Bet is funny business to win lazima uishinde nguvu ya tamaa iliyomo ndani mwako.
unahitqji muda na stakes za kutosha.

Tunaendeleza jahazi
 
Any team mkuu nahitaji just 3 odds nina laki 3
 
Kila nikijaribu kumpa Liverpool direct win

Nasikia sauti nyingine ambayo siioni inasema "achana nae atakuharibia siku huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Mpaka hapa nasita kumpa liverpool direct win, bora hata double chance
 
Liverpool at Anfied is a monster
 
Leo Hata mm Liverpool yangu inaninyima uhuru wa kustake

naweka 3.5 over sielewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…