Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu, Hii option ya 'BOOKS' inamaanisha nini?
 
Jana Mechi zote zilitoa Magoli>1.5. Ngoja tuone leo maana siku hazifanani.
 
Wale wazee wa treni wa kusaka bonus betpawa leo ni kuweka over 0.5 zipo za kumwaga unatafuta na 2+ kama mbili tatu za kujazia, kama hutak au una wasiwas na 2+ nenda kajazie 2+ toka EPL, Swiss, au netherland utaifikia bonus ya 250%
 
Maoni yenu mnaonaje huu mkeka wadau
Timu ya kutoa au kuweka nyingine kama kuna option ya kubadilisha
 
Kiukweli naona heshima ya uzi imerudi..kuna wadau humu wana moyo zaidi ya mshumaa aisee..nakosa maneno mazuri yakusema..lakini big up sana kwa wana wote ambao kwa namna moja au nyingine wanatenga muda wao kuchambua game na kushea hapa bila kinyongo! Let's pray for green!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…