toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
mzee baba hii ulikua umeplace bet ukiwa timamu au kulikuwa na nguvu ya K.Vant kidogo.?
SawaNdio imekubali nimeinstall na app yao
Pole Sana Mkuu
Mkuu samahan kama hutojali naomba kujua jina hii live score nimeisaka mda mrefu sijaipataINPLView attachment 1275135AY FT 0-0 CS
Hapoooo ungechanganyaa mbegee ya sismon pale korogwee angezaa mapacha mhindi
Mkuu samahan kama hutojali naomba kujua jina hii live score nimeisaka mda mrefu sijaipata
Mwenyewe nimerudi rasmiKiukweli naona heshima ya uzi imerudi..kuna wadau humu wana moyo zaidi ya mshumaa aisee..nakosa maneno mazuri yakusema..lakini big up sana kwa wana wote ambao kwa namna moja au nyingine wanatenga muda wao kuchambua game na kushea hapa bila kinyongo! Let's pray for green!
We ni betting mogulmkuu sasa utafanyaje na maisha ni magumu, nlikuwa hata matokeo siyafuatilii nlinunua konyag kubwa na redbul nikawa nakula mdogo mdogo mkuu...acha kabisa
Shukran mkuufutbol24
*MALMO FT X STAKE WIFE*
Mpwa ikija yenye Stake Mchepuko please ni tag*VIBORG FT X STAKE GFRIEND*
Hiki kijiwe hata ratiba zake sijui huwa zinabandikwa wapi. Utaona tu pamejaa, watu busy na mbege na mbuzi tu.Hapoooo ungechanganyaa mbegee ya sismon pale korogwee angezaa mapacha mhindi