Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu sidhani kama ni dharau kwasababu betswall watu wanaotuma mikeka ni maelefu kwa maelfu, hata wewe uki register unatuma tu mikeka hata 1000 kwa siku bila gharama yoyote

So how can you tell mkeka upi uta won out of mikeka maelfu?
Trust me inayo lose ni mingi kuliko inayopatia, ila kwakuwa mpangilio unaonyesha wale waliopatia kwa kiwango cha juu ndio maana tunadhani betswall kuna manguli wa kuotea

Kumbuka hawatumii hata sent kubet so wapo free hata wakikosea hawana cha kukosa
Linapokuja swala la kustake real money hadithi inakua nyingine kabisaaa
 
hawo waliotoka uefa na ueropa muhimu kuweka umakini nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…