Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau vipi treni inayoanza kuondoka leo na kufika mwisho wa safari kesho alie nayo atuwekee hapa tafadhali
 
Hapa nikufumba macho na kuweka m.

kampuni gani ? me naitafutia pesa hii kitu juz pari match nimeona ni 7.2 mpaka mwili ukasisimuka , ivi wanatutafutia nini hawa makanjibai sisi wengine kujitoa muhanga hatufikirii, nimemwonyesha jamaangu kaweka LAKI
 
kampuni gani ? me naitafutia pesa hii kitu juz pari match nimeona ni 7.2 mpaka mwili ukasisimuka , ivi wanatutafutia nini hawa makanjibai sisi wengine kujitoa muhanga hatufikirii, nimemwonyesha jamaangu kaweka LAKI
Nimeona now mkeka bet odds 12
 
hii ime recover ile Loss ya Arsenal mkuu bila shaka

nba zote zimeover ? umecheza live au umeanza nazo mapema ? daah nimekuwa mvivu kuyakagua hayo madude, kazi nyingi nachoka nikilala moja kwa moja
 
Naomba tuma screenshot ya namna ya kucheza kama hutojali mdau.
 
Naomba tuma screenshot ya namna ya kucheza kama hutojali mdau.
Hii ni Parimatch, kuna option ya kucheza virtual, hii ina kua una cheza japo sio uhalisia mfano kuna football, farasi na hio ya table, matokeo ni ndani ya dakika 3.

Tuje kwenye hii ya table.
Ukifungua parimatch nenda kwenye option ya VIRTUAL, chini utakutana hizo option.

Chagua stake yako inaanzia 300/= hadi 5,000/=

Weka ubashiri wako. Mfano ikitokea gurudumu la bahati litazungushwa (spin) alama/mshale utaangukia kwenye namba kati ya 1-12 au itaangukia kwenye rangi Nyeusi, au itaangukia kwenye number yoyote uliochagua (japo ni option ngumu ila ndio yenye odds nyingi)
Ukiweka ubashiri wako.

Gusa hio spin button yenye rangi ya kijani. Gurudumu litajizungusha kwa sekunde kadha na matokeo yataoneshwa.
Michezo kama hii ipo pia Meridianbet & Premier


Tahadhari jamaani huku kuna vipigo vya dakika


 

Attachments

  • 20191206_093848.jpeg
    59.2 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…