Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye haya makampuni ya kubeti kuna mabilioni ya madola tatizo ni kwenye jinsi ya kupata funguo ama parten kama kwenye smartphone zetu za kuweza fungulia hayo mahela kwa mfano ukiweka
  • liverpool win
    [*]barcelona win
    [*]bayern gg

hizi ndio key kama zitakuwa sahihi mfumo wa kampuni ya kubeti utaruhusu kuachia pesa.
 
labda niwape siri kidogo ya basketball jinsi ninavyofanya ninapocheza inplay...
kwanza kabisa mahesabu yanatakiwa kufanyika cha pili maamuzi....lakini pia lazima uwe application ya kuangalia muendelezo wa game ili ujue kuna ingilika au la!!! league nyingi za basketball zinaenda kila quarter dk 10 lakini hizi sio exactly dk 10 kama unavyojua wewe... so kama upo live in play ukiona ndani ya dk 4 wamefungana point zaidi ya 15 ujue hiyo quarter kuna possibility kubwa ya kutoa over 40+ points so nikuangalia umewekewa point gani so kama ukiwekea over 40.5 we weka mzigo.
 

Mi nasubiri treni lako mkuu
 
wadau mimi napenda sana kuona watu wanawin iwe MIKEKA ama SPIN so tuache tu hawa jamaa zetu wawe wanatupia humu madini kwahiyo nakuomba mkuu Mayu urudi kwenye jukwaa hapa uendelee kushare madini adui yetu sote ni kanji-bay a.k.a mhindi
popote ilimradi watu watusue pesa.
 
naunga mkono hoja
 
Weka hyo app ya kuchek muendelezo as game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…