Wakuu wa hizi kazi kwanza heshima kwenu,PILI NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO HAPA
MKEKA WANGU UMEBAKIZA MECHI MOJA TU YA ASTON VILLA Vs LEICESTE CITY
NA MIMI CHOICE YANGU YA IYO MECHI NI X2(YAAN LEICESTER TO DRAW OR WIN)
UKITIKI TU,NAKULA LAKI 1,NILIBET 25,000
SINA OPTION YA CASHOUT MAANA BETPAWA HAWANA IYO OPTION
NISHAURINI NISUBILIE IYO MECHI IILI NIIPATE FAIDA YA 75,000?
AU NIBET TENA 25,000 NA KISHA NMPE ASTONVILLA TO WIN = HAPA VILLA KAPEWA ODD 4.5,MEANING KWAMBA NITAPATA 95,000?
View attachment 1285089
Ni Vyema Kama Ungetuambia Unatumia Apps Gan Kufanya Analyaishapo toka asubuh!! mambo ndo kama hivyo...kama ukiwa na muda kucheza live play inalipa sana hasa kwa upande wa basketball maana ni bandika bandua.....cha msingi ni kwenda single kama hivyo...ukipata 5000 na kuendelea inatosha.... toka morning nimeshaingiza 67k kwa njia ya in play!!! kama ww basketball una idea nayo jaribu kucheza Ila unatakiwa uwe na application ya uchambuzi ambayo itakusaidia kujua game zinaendaje na ubeti vipi maana sio kwamba unajiwekea tu...unaenda kwa mahesabu zaidiView attachment 1285602
USHAURI MZUR SANA
nilishasema mbona.....ingia play store tafuta FLASH SCORENi Vyema Kama Ungetuambia Unatumia Apps Gan Kufanya Analyais
Naona limeshakuwa group la spin tu,hakuna cha mikeka zaidi ya hadithi za spin[emoji57]
HUYO SUNGURA NA JIMMY HAJALA CHOCHOTE KWENYE SPIN HIZO 360K NA ZINGINE WAMESCREEN SHOT ZA WATU TENA SIKU NYINGI SANA ...WAWEKE MIAMALA WALIOTOA HIZO WIN....HAHAHAHA...MSIWAFUATE MTUSEMA POOOOOOOOO
Mi natumia selection ya set kwahyo nakuwa na favourite set yangu so ikiwa ni siku nzuri kwako hiyo set inakuwa inakupa nikiliwa narudia set ileile tu kwani unaweza ukahama dude nalo likaja pale ulipotoka but kiujumla ni mchezo wa bahati nasibu na kiufupi haina tofauti na zile za mchina utofauti hii ni digitali zaidiNa wewe Mkazamoyo tueleze baada ya kuelewa mbinu inayotumika katika huo mchezo ili ushinde vizuri.
Hili swali sijui ni kwanini huwa halijibiwi?Ni Vyema Kama Ungetuambia Unatumia Apps Gan Kufanya Analyais
Mjomba ungecash out mzigo mapemaKwa machawi aroge kina jonjo nami sitaki cash outView attachment 1285454
Jana alisema na leo kasema tena,Hili swali sijui ni kwanini huwa halijibiwi?
Ili uende fresh hata namba ikigoma zaidi ya mara tano inahitajika uanze na kama sh ngapi hivi ili usikwame njiani!!!
sungusunguu ,kwani rangi ya kijani,nyekundu na nyeusi ina odd ngapi?
koncho77 kuna mahali nimeona wachangiaji wakisema kwenye namba unaweza kudouble,je kwe rangi nako unaweza kudouble? na je ukidouble stake nayo inajidouble pia? au the same stake ila odds ndo zinakuwa 4?