Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya wale wanaotaka kujua formula nnayotumia kwa individual points kwa timu husika, hebu jaribu kupitia hapa

Hii game inaanza saa 2 unaeza try ur luck

Utachukua average ya hizo points zenye duara jekundu,,jibu utakalopata kwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuwin unaeza kuiongezea alama 5 katika average uliopata then jibu hilo nenda nalo kwenye betting company ukaangalie kama lipo linalo karibia na hapo.

Kwa timu dhaifu jibu utakalopata nenda kampe under hilo jibu haina haja ya kujumlisha 5
 
Mkuu hii app ndo flashscore?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…