Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Princess bet kwenye spin 2 wako hovyo kweli kweli...ukicheza nao unapoteza hela yako..Mtu umeshinda mkwanja wanakupa loss
 
tatizo mkuu watu wanakurupuka then wanakuja kulalamika sometimes kwa mahesabu yako yanaweza yakatick au yakabuma maana kikapu huwa kuna usenge sometimes kama kwenye football unaweza ukakuta team kawaida inauwezo wakupiga average ya point 80 na kuendelea siku ukimfuata unashangaa anatoa under.....so guys ushauri ni kwamba sio kwamba kila formula inayotumika huwa siku zote inatick...nataman watu waelewe neno ubashiri linamaana gani!! nahisi wakielewa hili neno sidhani kama kutakuwa na hizi complains.....
haya mambo ya kubeti ni guessing tu ingawa records za nyuma zinatusaidia kutupa mwanga....sometimes muwe mnajiuliza kwann huwa hawaweki vikosi kamili kabla ya mechi unakuja kuonyeshwa vikosi baada ya game kuanza? coz wanaamini ukipewa fursa ya kujua kikosi basi muhindi anaweza akafunga biashara yake mazima so hawa watu huwa wanashirikiana.....

mwisho ni kuwa jiamini na analysis zako kama umeamua kuingia kwenye huu mchezo natumaini ulikaa chini ukafikria namna ya kupata pesa lakini sio kwamba unajiwekea tu kwa kuwa umeona team fulan inacheza na kibonde au vinginevyo......make your own formula to *** this muhindi business!! I know you can....don't wait for someone else strategies coz you will never understand it just create your own....here we will give you key points and awareness in a certain games....

any questions concerning in basketball am here to answer all!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…