Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naanzaje ili na mimi nipate hiyo airty MasterCard? Unawapigia simu au kuna link ya kujiunga? Msaada tafadhali
 
Naanzaje ili na mimi nipate hiyo airty MasterCard? Unawapigia simu au kuna link ya kujiunga? Msaada tafadhali
Mkuu ingia kwenye menu yao ambayo ni *150*60#

then utabonyeza no. 6 ambayo ni huduma za kifedha...
Itakuletea airtel MasterCard
Hapo utamalizia mkuu.
 
Sijawahi kubet kichaa Leo nataka nijaribu. Naomba msaada hizi zina maanisha Nini kwenye option huko betpawa?

1/2
2/1
2/2
1/1
x/1
1/x
x/2
2/x.
Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…