Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jibu simple na clear ni kwamba tafuta game yenye odds kuanzia 1.1 na kuendelea kisha ubetie na kiasi cha pesa ulichoweka Mara ya mwisho.... so kama ulideposti 20000 basi bet kwa hiyo 20000 then baada ya hapo ndo unaweza kuwithdraw
Nmekupata mkuu
 
mkuu naisi umeamua kujilipua ila naufuata huu mkeka

Nakukumbusha tu Barca ameshafuzu = hana cha kupoteza hata akipigwa, Inter anahitaji ushindi wa hali na mali tofauti na hapo Dortmund akishinda game yake anapita.
 
DeepPond umejaribu kutoa kiasi cha pesa, lakini ndani ya hicho kiasi kuna kiasi umedeposit, then umeomba kuwithdraw bila kubet. Ulikuwa na kiasi fulani cha pesa ambacho hakijafikia kiwango cha kutolewa, then ukadeposit kidogo ili kifikie kiwango cha kutolewa na ukajaribu kutoa.
Operator amepewa mamlaka ya kudecline miamala ya mtindo huu ili kuzuia utakatishaji pesa na mambo mengine.
Ili pesa yako iweze kutoka, ni lazima ubeti hiyo hela uliyodeposit kwa mara ya mwisho kwa odds kuanzia 1.10
 
hapa spin unaipatia wapi kiongozi?
 
So kwa maana hiyo uwezekano wa ku withdraw kwa kutumia airtelmoney master card inawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…