Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole Sana Mkuu

Kama Unayoyasema Ni Ya Ukweli

Basi Inawezekana Hata Ulilia.
Inawezekana kabisa, kuna post kashare kashinda 512,000 means alistake kama 256,000. Kwa stake hizo ukispin mara 4 tu huna kitu. Halafu huo mchezo kuna muda huwa unakulia tu timing, unaona kabisa saizi Black unakuja unapandisha dau kitu kinakuja Red, unaingiwa tamaa za kurudisha ulichopoteza ukiamini kabisa kwa namna yoyote Black ndio rangi inayokuja unashangaa li-Red hilo tena.
 
Tamaa ni mchawi mkubwa wa BETTING
 

Ndicho kilicho nitokea mkuu
Nikataka niingie milioni kwa nusu dakika maana nilikuwa na laki nane daaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…