CUTE JESSIE
Member
- Nov 13, 2019
- 11
- 7
Mkuu nimeku pmBaada ya ajax kunifanya vibaya nimeamua nikuze mtaji japo hadi 500k ili nipate ya kubetia UEFA odds za toti zinanitoa mate...uzuri wa spin unacheza wakati wowote kama hapa nipo njiani kuelekea mbeya tanzania.. huku nafanya analysis na kutest mitambo View attachment 1288784
Selection ya namba huwa naiogopa sanaBaada ya ajax kunifanya vibaya nimeamua nikuze mtaji japo hadi 500k ili nipate ya kubetia UEFA odds za toti zinanitoa mate...uzuri wa spin unacheza wakati wowote kama hapa nipo njiani kuelekea mbeya tanzania.. huku nafanya analysis na kutest mitambo View attachment 1288784
nmebet kwa hela yangu sio bonus mkuu.Ni bonus ambayo hujabetia au uliweka pesa ukawa hujabet alaf ukawithdraw
imeshakubali wakuu.Ni bonus ambayo hujabetia au uliweka pesa ukawa hujabet alaf ukawithdraw
Pole saana braza sungu sungu naona na wew *PSYCHOLOGY AFFECTION* imekukumba lakini usikate tamaa nakuaminia una strategy nzuri ila umeteleza tu
[emoji23]Siku niliyoacha keno ni baada ya kwenda makao makuu ya kampuni moja maarufu sana kwa options nyingi za futball na kukuta wahudumu wapo busy na computer kila mtu na yake ukiweka pesa nyingi kwenye number mf 5 itoke ukaweka laki 1 yeye anabonyeza kibutton cha kuchange mzunguko niliwasoma kwa Kama saa 1 nikiwa narekebisha ticket yangu ya futball toka hyo siku KENO BYE BYE BYE
Sent using Jamii Forums mobile app
70%
Handicap
Stake what you can afford to lose View attachment 1288792
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa elfu 15 pesa ndogo hiyo nishawahi kupigwa kama 780k kwa siku moja halafu hela hiyo nilikuwa nadaiwa na mtu nilipanga kumpa siku ile siju jini gani lilinipeleka kwenye moja ya shop za kubetishia hapa mjini mwanza weee kuanzia siku ile huwa sitamani hata kuingia kwenye lile jengo na nikipita maeneo hayo moyo wangu huwa unauma sana nikikumbuka nilivyopoteza pesa ndefu kiasi hicho ndani ya saa moja
70%
Handicap
Stake what you can afford to lose View attachment 1288792
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende kazi Sungusunguu , mapambano dhidi ya kanji yanaendelea , mzigo ukipanda nakukumbusha kuchukua chako mapema, maana jamaa hawachelewi kufanya hujuma....View attachment 1288808 I think akili haiko sawa dah yani nimeshindwa kabisa kuisongesha akaumti yani nacheza kwa machale ad so poa
Nakubali ad kuishia njiani daah
I need yo relax nazani ata siku1 iv
Sent using Jamii Forums mobile app
MeridianNaombeni mnisaidie mitandao ya kubet inayofaa kutoa hela kabla mechi hazijaisha maarufu kama turbo layout