project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
****BET WOOON***Inplay
Mainz vs dotmund
Goal number 2 will be scored by kicking
Odds: 1.75
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana project PlannerLeo nimepoteza akiba yangu yote kwenye kubeti yaani mpaka najuta sina hata mia ya kunywa chai nyie mnaokula mnabeti VP wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
pole Sana mkuu,Leo nimepoteza akiba yangu yote kwenye kubeti yaani mpaka najuta sina hata mia ya kunywa chai nyie mnaokula mnabeti VP wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tumemuelewa kweli?? Ongeza volume kwa herufi kubwa mkuu[emoji848]pole Sana mkuu,
Kuna mahali unakosea,
Nmejaribu kukufatilia kiasi chake.
Nlichogundua
Unacheza mchezo wa kubeti badala ya kufanya kazi ya kubeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo sahihi mbonaHivi tumemuelewa kweli?? Ongeza volume kwa herufi kubwa mkuu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nisaidieni mi sikuizi kila nikibeti mkeka unaungua yaani kama laana hivi yaani Leo nimetengeneza mikeka mi NNE ya odds mbili mbili yaani imeungua yote shida gani IPO kwangu niambieni wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
pole Sana mkuu,
Kuna mahali unakosea,
Nmejaribu kukufatilia kiasi chake.
Nlichogundua
Unacheza mchezo wa kubeti badala ya kufanya kazi ya kubeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimepoteza akiba yangu yote kwenye kubeti yaani mpaka najuta sina hata mia ya kunywa chai nyie mnaokula mnabeti VP wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
UongoMkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.
Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.
Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.
Sent using Jamii Forums mobile app