Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mwenye registrared Safaricom line anicheck Mara moja, coz nahitaji hyo line Nipo Mororogo Mazimbu site
 
Wadau Ngoja Niwape Mbinu
Tafuta Line ya safaricom alafu register betika.com alafu zama inplay siku za jumamosi na jumapili zile league kubwa kubwa wana option kama zote hadi matukio ya dakika 1'
 
Jana niliweka team 5 zikatoa 3 za mwanzo zikawa zimebaki team 2 madrid na juve..ikaniletea option ni turbo

Ili nipate 80 ..mimi nikaona madrid na juve hawawezi niangusha..nimeamka sina hel ya supu..nikasema better niwe na turbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kimya humu

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Tusichokijua wengi wetu ni kwamba siku za J'mosi na J'pili ni siku ambazo "kamati ya roho mbaya" ya kanjibai inatekeleza majukumu yake iliyopewa...wee piga hela zako kwenye betting from J3 to ijumaa lakini ujue hizo siku mbili zilizobaki ni za Kanji kurudisha pesa zake ulizomla wiki nzima...nina uzoefu na ninachokiandika...weekend kwa maana ya J'mosi na J'pili kuna "fitina" nyingi sana zinaendelea nje ya uwanja especial ktk soka ili kum-favor kanji na biashara zake...siku hizi mbili J'mosi na J'pili ndiyo uwa mara nyingi timu kubwa kubwa upata matokeo ya draw au lose dhidi ya vitimu vidogo vidogo tofauti na matarajio ya wakamaria wengi(chunguza utagundua hili) na hivyo kupelekea wakamaria wengi kupoteza pesa zao na kumpa faida kubwa Kanji kwenye biashara zake.....wakamaria tushtuke tuwe makini na hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…