Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inaweza ikawa kweli.. mfano mechi ya jana ya Real Madrid aliongoza kwa kila kitu lakini akatoa draw ya bila hata goli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mechi yenyewe ilikuwa usiku wa saa tano wakati mtu unasubiri Madrid apate goli moja mkeka utiki, anatoa sare ya bila bila.
 
In
 
Wakuu ukitupia hio matokeo yanatakiwa iweje ili ushinde View attachment 1301617

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo option kwa kifupi inahusisha matukio mawili tofauti yaani kwakizungu ni double betting techniques ( in mwalimu kashasha voice) hapo una 3 way na both team to score. so kama ukichagua 1-YES maana yake wa nyumbani ashinde lakini wafungane mwisho wa siku mfano 2:1, 3:2, 4:2,...ikitokea wa nyumbani ameshinda na wa ugenini hajapata goli yaani mfano 1:0, 2:0, 3:0 ujue your bet is lost.
kama umechagua X-NO maana yake game iishe draw na wasifungane yaani matokeo ya mwisho yawe 0:0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…