Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kubwa baadhi ya match zimeandikwa 93+ nyingine 73+ nini maana yake?

Yaani hapo ukibonyeza unakuta varieties tofauti tofauti kama over, under, both teams to score, 1-0,2-1,0-3
 
mi nimekosea mara moja tu tangu world cup ianze kwenye ile gem ya Mexico....sababu nabet over 2.5...nii gemu moja tu ndo imekua under 2.5! ila naanza over 1.5 to be more safe!!

mkuu nini maana ya over 2.5 au under 2.5 and over 1.5?
 
mkuu nini maana ya over 2.5 au under 2.5 and over 1.5?

Over 2.5 means kuanzia magoli 3 na kuendelea, under 2.5 means magoli 2 na kushuka hadi 0.
Over 1.5 means zaidi ya magoli 1
 
Finaly nimesuspend betting hadi august msimu ukianza
 
hahaha...imekuaje!?

Jamani kwani we huoni hali ilivyo mbaya?
For the first time nimeamini kuwa Betting ni bahati kweli na usilalie bahati ya mwenzako nje.
Mechi ya Costarica ndio sababu.
 
Yaani hii wedi kapu imenitenda mbaya hadi nikanyosha mikono juuuuu
 
Game ya leo kwakweli hata watabiri wameiogopa ni ngum kupita maelezo.
 
Dah kumbe ndio maana hapa pametulia hivi. Najua kelele zitarudi sana EPL,La Liga, Serie A,Bundesliga,Ligue 1 etc ikianza
 
Inakuaje wadau Nina swal kwa wale Wa iplay8 et mbona min nime2ma ela many account yang kwa mpesa cha kushangaz hawajantext confm codes Na ela wamechkua
 
Inakuaje wadau Nina swal kwa wale Wa iplay8 et mbona min nime2ma ela many account yang kwa mpesa cha kushangaz hawajantext confm codes Na ela wamechkua

Mpesa ndio wanakurudishia sms kama hii.
BE02AL664 Imethibitishwa. Tsh imetumwa kwa IPLAY8CASINO kwenye akaunti namba 00000000 tarehe 30/6/14 saa 8:31 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh
Watumie hao hio hela
 
Nasubiri kombe la dunia liishe zije mechi za kirafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…