ndugu hukati tamaa aisee...
hahaha andybird ni chuma cha reli
hahahahaaa andybird314 mbishi dunia!
Huu uwanja umetulia sana
mida inakaribia, bado wik 2 paanze kuchafuka
Jamani eeeh leo nimepigwa za uso ile mbaya hadi nikapata usingizi kwani ilichukua dakika moja tu kuliwa yaamo baada ya kuweka tu hela mtu akapigwa goli
Jamani eeeh leo nimepigwa za uso ile mbaya hadi nikapata usingizi kwani ilichukua dakika moja tu kuliwa yaamo baada ya kuweka tu hela mtu akapigwa goli
ahahahahaaa andybird314 aka roho ngumu!!...
Hata paka mbaya haoni ndani! kila siku anajua atapata.
jamaa aende rehab kwanza au apumzke tu as we did.
Ligi ikianza ni kuipanga haswa
Duh betting in Raha yake
Yeah nilitungua 60000 baadae katamaaa kakasababisha nimebakiza buku tu
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wazee wenzangu, nimejaribu bahati nikabahatika, meridian bet online jana wameweka mechi nyingi sana online za ligi mbalimbali duniani pamoja na international friendly matches, nilichofanya nikachagua timu iliyoko nyumbani ata kama siijuwi lakini iliyopewa odds ndogo lakini timu pinzani imepewa odds kubwa, kwaiyo nilichagua odds kuanzia 9.1 kwenda juu............. hii inamaana gani timu iliyopewa odds kubwa hivyo kuanzia 9.1 kwenda juu kushinda nivigumu sana, nikawa nazipa zile za nyumbani tu, nikachagua timu 23 na zote zikashinda, niliweka 5000 nimeondoka na 780,820 nafuraha sana wandugu, na hapo M-BET nimeshawapiga kama 60,000 niliweka 5000 andybird314 Rockcity native rahim_baharia :majani7::majani7::msela::msela::cheer2::cheer2::welcome::bump2::bump2::bump2:
hongera sana, betting ya online iko poa sana hata mie jana nimeicheza ktk game ya kaizer chief na orlando. Ila bahat mbaya ikala kwangu